Taarifa Muhimu Kutoka Ofisi ya RC Makonda Hapi kumrudisha Msingwa CCM Gigy Money amvaa Zari

Taarifa Muhimu Kutoka Ofisi ya RC Makonda

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam inashangazwa na taarifa zinazo sambaa mtandaoni juu ya kuwepo kwa Mkutano wa Mkuu wa Mkoa, Mh. Paul Makonda na waandishi wa habari siku ya leo tarehe 31/08/2018 katika Hoteli ya Serena muda wa saa sita mchana…Detail<<

Hapi atamba kumrudisha Msingwa CCM

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amesema mikakati yake ya kuuendeleza mkoa huo itamfanya mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kujiunga na CCM…Detail<<

Wanafunzi waandamana kufutia mwenzao kupigwa ni mwalimu hadi kuzirai

Wanafunzi wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu…Detail<<

Gigy Money amtolea povu kali Zari

 

Msanii wa muziki Bongo na video vixen, Gigy Money amejibu kile alichoanzisha Zari The Bosslady…Detail<<

Mbelgiji kusalitiwa Simba FC

Kitendo cha wachezaji sita wa simba kuenguliwa katika kikosi cha timu ya taifa, taifa stars, kutokana na utovu wa nidhamu, kimemkera mno kocha mkuu wa wekundu wa msimbazi, patrick aussems, akisema kuwa huo ni usaliti wa hali ya juu dhidi yake…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *