Magufuli amteua Kikwete Kumwakilisha Madeni yamvuruga msemaji wa serikali Majaliwa kuongoza ujumbe wa Tanzania nchini China Pierre Bemba atupwa nje

Magufuli amteua Kikwete kumwakilisha sherehe za uapisho

Rais  Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kumwakilisha katika sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmarson Dambudzo Mnangagwa zitakazofanyika tarehe 26 Agosti 2018 jijini Harare…Detail<<

Madeni Yamvuruga Msemaji wa Serikali

Serikali imesema kuwa iko kwenye mchakato wa kuunda mfumo madhubuti wa kutoa matangazo yake na taasisi zake katika vyombo mbalimbali vya habari nchini…Detail<<

Majaliwa kuongoza ujumbe wa Tanzania nchini China

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa atawaongoza Watanzania watakaohudhuria Mkutano wa Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika (FOCAC) huku akitarajiwa kupata nafasi ya kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Xi Jinping…Detail<<

Pierre Bemba atupwa nje ya Mchakato

Aliyewahi kuwa kiongozi wa Waasi, Jean Pierre Bemba amekataliwa kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu…Detail<<

Bobi Wine, Sugu, Jaguar, Proffesa Jay Wanavyochangamsha

Wimbi la wasanii Afrika Mashariki kutikisa kwenye siasa linazidi kuongezeka. Wanasiasa waliotoka kwenye sanaa hususan muziki wamekuwa na ufuasi mkubwa baada ya kujiingiza katika siasa…Detail<<

Historia fupi ya mtoto wa rais Mobuttu aliyejiua baada ya kupata Ukimwi

Alifariki kwa kujiua Mwaka 1998 inasemekana ni baada ya kujigundua kuwa ameukwaa “UMEME”…Detail<<

Manji kaliamsha tena Yanga

Yanga juzi usiku iliandika ushindi wake wa pili mfululizo kwenye mechi za mashindano huku siri kubwa ikibaki kwa Mwenyekiti wake, Yusuf Manji…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *